ILLICOCASH LIGUE1 : OC Bukavu dawa imeitowa nyoya FC Céleste kisha kuiteketeza vikali
Ilikuwa kwenyi mechi ya juma la Saba iliyo endeshwa hii jumamosi tarehe 09 novemba kwenye uwanja wa Kadutu ambayo Bukavu dawa imeifunza kazi hii timu ya FC Céleste kutoka Mbaka. Kisha kuwa teketeza vikali na kuwa laza kwa goli tatu bila jibu ( 3-0) inakuwa […]
Général Sport