ILLICOCASH LIGUE1 : Dauphin noir kisha kuishinda Etoile du Kivu ime lazimisha Bukavu dawa kupoteza mechi yake Bukavu
Imekuwa kwenye mashindano ya kitaifa ya linafoot daraja la kwanza humu Inchini ambapo, Timu la Bukavu dawa ilikuwa ikipokea mjini Bukavu Timu la Dauphin noir ya Goma. Ilikuwa hii ijumaa tarehe 18 Oktoba kwenye uwanja wa Kadutu, Bukavu dawa iliweza kupoteza mechi yake ya kwanza […]
Général Sport