LINAFOOT: FC Étoile du Kivu imefanya mkutano wake hii Siku ya kwanza.
Mambo ilikuwa kwenye mkutano iliyo endeshwa hii Siku ya kwanza tarehe 15 julai 2024 kwenye hotel Bugugu mtaani Ibanda. Mambo mengi iliweza zungumziwa kwenye mkutano Hugo kabla Katibu wa timu ya Étoile du Kivu asome bajeti ambayo timu iliweza kutumiya kwa musimu wa mwaka […]
Général Sport