Ilikuwa kwenye mechi ya derby iliyo wakutanisha hao watani wawili wa njadi hii jumatano tarehe 19 novemba 2025 huko Kindu kwenye uwanja wa Joseph Kabila.

Timu la FC Etoile du Kivu ikaweza kujipatiya ushindi mzuri tena mnono mbele ya OC Bukavu dawa kisha kuilaza goli tatu kwa moja ( 3-1), hii timu la FC Etoile du Kivu ambayo inaendelea kuwakilisha vizuri Jimbo la kivu kusini kwa hii mashindano ya kitaifa ya LINAFOOT LIGUE 1 ( daraja la kwanza).

Ushindi huu wa timu ya Étoile du Kivu uliweza kufanya ichukuwe na fasi ta nne kwenye mpangiliyo wana fasi kwa muda ikiwa na pointi 11  ( 11 pts).

Ila upande wa timu la Bukavu dawa inaendelea kudidimiya kiasi kisha kucheza mechi kenda na kupoteza mechi Saba na ushindi moja na piya kuenda sare mechi moja.

Bukavu dawa ambayo inaendelea kutowa matokeo mabaya kitofauti na mwaka ambayo imepita.

Patrigal Basimarha soka Magufuli 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *