Mambo ilikuwa kwenye mkutano iliyo endeshwa hii Siku ya kwanza tarehe 15 julai 2024 kwenye hotel Bugugu mtaani Ibanda.
Mambo mengi iliweza zungumziwa kwenye mkutano Hugo kabla Katibu wa timu ya Étoile du Kivu asome bajeti ambayo timu iliweza kutumiya kwa musimu wa mwaka 2023-2024.
Mkutano wa timu ya Étoile du Kivu ilikuwa imefunguliwa kwa njia ya Maombi yake mchungaji Evariste, Kisha hapo Katibu Mass Nyindu akachukuwa Kahuli akili ya ya kusoma mapitio ya musimu wa 2023-2024.
Faili ya utalawa Ama administration Timu imetumiya : 3274$.
Malazi kwa umarufu hébergement imetumiya : 22805$
Chakula na mengine ma tumizi : 15983$
Matunzo kwa wachezaji : 1384$
Usajili zawa chezaji piya mushahara Yao yaku saiini : 27572$
Mavazi ya timu : 3348$
1.1 Sajili ya wachezaji 10 x 3000$ :30000$.
Mishahara ya wachezaji 200$ x 30 : 6000$
Kinua mgongo ya wachezaji ama prime : 95000$.
Restaurenti : 8000$.
Upande wakiufundi Ama Staff technique : 12200$.
Malazi piya Usafiri : 4700$
Matunzo : 18000$
Nafasi ya mazoezi : 30000$
Gari la uchukuzi kwajili ya kusafirisha wachezaji : 40000$
Malazi ya wachezaji piya wa fundi wa Timu : 14700$
Kwa umjula pesa zimetuwa ni 436400$
Zilizotarajiwa 10% : 436400$.
Hesabu ya pesa zote ambazo timu ya FC Étoile du Kivu imetumiya ni 480040$ kwa musimu mzima.
Upande ya wanganga FC Étoile du Kivu ilikuwa nawa ganga wa wili.
1. Léon Karachi
2. Jean Balolage
Ripoti ya fedha.
Kuhusu mchango wa timu.
1. Raisi Slyanus Mushi Bonane 98928$
2. George Olinabanji mshauri wa timu 170$
3. Chibuzi mshauri wa timu
4. Feu Roger Buhambi mshauri wa timu ambaye amefariki apa manyumba 25$.
5. Boucher mshauri wa timu 88$
6. Doudou Mokabila mshauri 50$
7. Mass Nyindu Katibu wa Timu 10$
Jumla ya fedha zilikuwa 99.451$
Daftari la washauri 185$
Kamati ya mashabiki wa timu ya Étoile du Kivu wametowa kama mchango 2317$.
Jukwaa ama Forum 3720$
Mashabiki 4943$
Mazoezi 130$
Mechi za kandanda 26872$
Mchango kwa Baba Rachel 150$
Jumla ya pesa ni 113.863$.
Repoti ya kiufundi.
Matokeo za mechi ya mkondo wa kwanza
FC Étoile du Kivu 0-1 FC Celeste, Aigle du Congo 2-0 FC Étoile du Kivu, Ac Rangers 1-0 FC Étoile du Kivu, Ac Kuya 3-1 Fc Étoile du Kivu, As Maniema union 3-0 Fc Étoile du Kivu, FC Étoile du Kivu 0-0 As Dauphin noir, FC Étoile du Kivu 1-0 As Vita club, FC Étoile du Kivu 1-1 Oc Renaissance, FC Étoile du Kivu 2-0 Dcmp.
Mechi za awamu ya marudiliyo
FC Étoile du Kivu 3-0 ff Ac Rangers, FC Celeste 1-2 FC Étoile du Kivu, Oc Renaissance 4-3 FC Étoile du Kivu, Dcmp 2-1 FC Étoile du Kivu, Vita club 3-0 FC Étoile du Kivu, FC Étoile du Kivu 1-3 As Maniema union, AS Dauphin noir 0-2 FC Étoile du Kivu, FC Étoile du Kivu 3-0 ff AC Kuya, FC Étoile du Kivu 0-1 Aigle du Kivu.
Matokeo za play-down.
Ac Rangers 3-0 ff FC Étoile du Kivu, FC Celeste 1-2 FC Étoile du Kivu, Ac Kuya 0-1 FC Étoile du Kivu, Oc Renaissance 0-2 FC Étoile du Kivu, Dcmp 3-0 FC Étoile du Kivu
Mtazamo wa Siku zijazo kwa umarufu perspective d’avenir.
Kusindikiza raisi wa timu ya FC Étoile du Kivu Bwana Sylvanus Mushi Bonane kwa miradi yote anayo ili timu ya FC Étoile du Kivu iende mbele piya kwajili ya kusaidiya Vijana.
Kufanya vile vile propaganda ya timu Kupitiya midia Ili wa sponsa na watu wenye niya njema wasaidiye timu.
Kusajili wa Vijana wazuri ambao wanakuwa naujuzi , piya kuunda timu la wanawake.
Patrigal Basimarha soka.