Ni kwenye mazoezi ambayo iliendeshwa hii jumanne tarehe 14 january 2025 kunako uwanja wa Kadutu , ambapo Hawa wa vijana masujaa wa académie wanakua wakiendelea kuandaa mechi yao ambayo itakuwa ikicheza hii ijumaa tarehe 17 january 2025 dhidi ya Timu la OC Muungano.

Hii mazoezi ilikuwa ikiongozwa naye kocha Safari Dunia Kumbao akisaidiwa na Kocha makamu wake Patient Walumona ambao ambao wanaendelea kupambana Ili hii timu ya Academie Real ipate matokeo mazuri kwa hii msimo 

Wachezaji wote na kikosi yote wako tayari kumbambana na timu la Muungano hii ijumaa naitakuwa mara ya tatu hizi Timu mbili zikikutana, kulingana matayarisho ambayo Timu iko ikifanya Siku hii.

Inaonesha kwamba wako tayari kinamna yote kwajili ya kucheza na Muungano natayari mawe mimiliya maji nguo Zao ndoma kubwa ya kuonesha mambo iko powa upande wa Academie Real.

Patrigal Basimarha soka 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *