Ilikuwa kwenye mechi ya mzunguko wamakumi nne na Saba LIFSKI kundi ya Bukavu.

Ambayo fainali iliweza kuendeshwa hii jumamosi tarehe 28 juni 2025 kwenye uwanja wa Kadutu, kwenye mechi iliyo kutanisha FC Immortel ya Murhesa na Ciriri sport ya Bukavu.

Hii Mechi ilikuwa vuta niku vute vumbi ilikuwa ikitimka vikali upanda wa mashibiki na upanda ya wachezaji wa hizi Timu mbili.

Timu ya Ciriri sport iliweza kuwa ya kwanza jaza bao mnano dakika 17′ za mchezo naye mchezaji Maya akaweza kuruhusu timu yake iweze kuongoza Bada ya dadika ishirini banane tu, kisha Hapo Immortel ikaweza kusawa Aisha kupitiya mkwaju wa pelnati mudakika 45′ kupitiya mchezaji Isra.

Izi timu mbili zilienda kwenye kipindi ya mapumziko zikiwa Sare ya bao moja pande zote (1-1).

Timu la Immortel ikakuja na nguvu mpya mukipindi cha lala kisha tu dadika kumi na mbili za kipindi ya pili ikaweza kubahatisha na kujaza bao lao la pili naye mchezaji Birindwa Héritier mudakika 57′ ingawa Ciriri sport iliweza Ku jaribu kutafutisha njinsi ya Kusawazisha lakini ikawa vigumu kulingana na ma beki wa Immortel ambao waliweza kuzibiya lango lao mwahii kipindi ya pili ya lala Salama.

Nakupitiya matokeo haya ikaweza kuruhusu Immortel iweze kujibuka ushindi mbele ya Ciriri sport kwa bao mbili kwa moja (2-1).

Patrigal Basimarha soka.

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *