Mchezaji huu akiwe mchezaji wa timu Motema ya Kinshasa ambayo inakua inakuwa ikicheza mashindano ya kitaifa ya daraja la kwanza.

Aliweza kumusifiya sana kocha wake Amani DJUMA Kevin kisha kazi ambayo Kocha Amani DJUMA Kevin amefanya kwake kumufunza kazi njinsi ya kucheza ndani ya lango yeye kama goal Keeper. Nakushuru Ku nginsi anaendelea kujitoa kuwa fundisha vijana wa goal KEEPER namna wanaweza kucheza mpira wakiwa ndani ya lango.

Ismael Ngambelo Kulunga kwa Sasa anakuwa akitoa matokeo mazuri na Timu ya DCMP kupitiya kazi ambayo aliweza kudunzwa na mwalimu kocha Amani DJUMA Kevin.

Kama mchezaji huu anakuwa akiheshimilika Katika nchi ya Kongo nikupitiya Kocha Amani DJUMA Kevin kwa Kazi ambayo amefanya kwake kila Siku asubui mchana na jioni.

Piya aliongeza kusema ya kwamba wengine wachezaji na wa goal KEEPER wajikaze wawe Karibu na Coach Amani DJUMA KEVIN ili aweze kuwa ongezeya ujuzi nao piya kimaharifaa.

Patrigal Basimarha soka 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *