Yote imekuwa kwenye mechi ya ILLICOCASH LIGUE1 iliyo endeshwa hii jumamosi tarehe 09 novemba kwenye uwanja wa Kadutu.
Mchezaji huyu machachari aliweza kustajabisha vikali nakuisulumisha timu ya FC Céleste kisha goli mbili ambayo aliweza kuzifunga kwa hii mechi ya OC Bukavu dawa na FC Celeste, Olivier Nshokano ni mchezaji ambaye anakuwa akitumiya mguu wa kushoto ambayo inakuwa kama ni risasi.
Inakuwa mchezaji wa kiungo wa kati kati ambayo iliweza kumsha hisiya za wana michezo wengi pa mjini Bukavu kupitiya mtindo yake ya kucheza kandanda ya Pata Sasa miaka karibu tatu uyu mchezaji anakuwa aki stajabisha Timu nyingi katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kupitiya chapisho zake kali ambazo iko akifanya kwa kila mechi.
Piya tuseme kwamba niyeye ambaye aliweza kupelekea Timu ya OC Bukavu dawa upate dhidi ya FC Celeste hii jumamosi kupitiya hizo goli zake mbili ambazo ziliweza kuzifunga.
Mu dakika 6′ ya kipindi ya kwanza na goli la pili akaweza kuijaza mnano dakika 56′ za mchezo, hii goli ya kwanza aliweza kuifunga kupitiya mkwaju wa pembeni ya lango la Timu ya Céleste na goli ya pili akaizaja kupitiya werefu ambao aliweza kufanya kisha kumuzubarisha goal keep wa Timu ya Céleste yeye anakuwa akikamilisha kabisa kama yeye ndani ya Timu la Bukavu dawa.
Patrigal Basimarha soka