
Timu hii imeanza mazoezi yake ambayo ilikuwa ikiongozwa naye Nestor Mubibwa, mazoezi ilianza ilikuwa na 6h00 saa za asubui hadi satatu (9hO0).
Lengo ya mazoezi haya ni kuandaa mechi ambazo Timu ya VC Kahuzi itakazo zicheza hapa Siku za husoni, hii ilikuwa ni mazoezi ya pili kisha kuchukuwa uongozi wa timu présidenti Patient Bahati Imani.
Tuseme kwamba wachezaji makumimbili na mbili (22) njo waliweza kushiriki kwenye mazoezi ya hii jumapili na wote wakimasemi wako tayari kupambana na Timu zote kwenye mechi za kirafiki, piya timu hii ilifanya mazoezi kupitiya kiongozi wao Patient Bahati Paty na kiongozi makamu wa kwa Elie Kibasoma.
Ambaye aliendelea kusema kwamba kuwa kwake kama kiongozi wa timu la VC Kahuzi kuenda mbele nakuifanya jina ya VC Kahuzi ipate kujulikana katika Jimbo Kivu kusini na nje nchini ya kidemokrasia ya Kongo.
Tayari amepana Vifaa kazaa vya michezo t-shirt Kabumbu na jezi kona za wachezaji.
Tuongeze kusema ya kama Patient Bahati Paty ni kiongozi VC Kahuzi ambayo atakuwa akiongoza kwa muda wa mwaka mumoja atakayo uongoza timu atafanya timu ya VC Kahuzi iwe miongoni mwa Timu kubwa hapa mjini Bukavu.
Patrigal Basimarha soka.