Mechi iyi iliyo endeshwa hii ijumaa tarehe 11 Julai 2025 kwenye uwanja wa EDAP / ISP.

Kisha timu hii ya Renaissance du Kivu mjini Kwanda ambapo ilikuwa inawakilisha Jimbo Kivu kusini,iliweza kurudi mjini Bukavu naikaona vema hiweze kucheza mechi ya kirafiki na iyi Timu ya Étoile ya Essence.

Hawa vijana wa Renaissance waliweza kwenda kwenye kipindi chama pumziko wakiongozwa kwa bao moja kwa zéro hawakuweza kukata matumaini, waliendelea kujiamiya na kukuja na nguvu mpya mukipindi ya pili ya lala salama.

Piya kupitiya shauri ambazo waliweza kupewa na Kocha Fundi Balega, wakakuja na nguvu mpya kwenye hii kipindi ya pili.

Nakupiya ujuzi huo wa kocha Fundi Balega na msaidizi ikaweza kupelekea Renaissance du Kivu kupata ushindi dhidi ya Étoile de l’essence kwabao mbili kwa moja (2-1) tuseme kwamba mechi ilikuwa ya kupima wacheza wapya kwa hii timu ya Renaissance du Kivu, ambayo inakuya na malengo mapya Katika mji wa Bukavu na Katika Jimbo Kivu na upande wa mashariki.

Patrigal Basimarha soka 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *