Ilikuwa kisha mkutano mkuu iliyo fanyika hii jumamosi tarehe 16 agusti 2025 mtaani Ibanda kwenye Lolango hôteli.
Ripoti ya tathmini iliyo( rapport bilan)somwa na Katibu Mass Nyindu kuhusu Bajeti ambayo timu iliweza kuitumiya kwa Mwaka 2024-2025 iliweza kusoma kwa kirefu kuhusu Matumizi yote ambayo timu iliweza kutumiya kwa hii mwaka wa 2024-2025.
Tuseme kwamba bajeti hii iliweza kukubali na wanamemba wa timu piya na mashabiki wa timu.
Kisha hapo uchaguzi uliweza kufanyika na Bwana CALVIN KASEMBELE akaweza kuchaguliwa kuwa présidenti Mpya wa timu ya FC Étoile du Kivu, atakuwa akisaidiwa na Gentil MATABARO kama présidenti makamu pili.
Mulinda ni Jorda MEEKO
Wanamemba wengini ni kama hawa, Boudouin Mutendela, John Kulimushi, Espoir Mulindwa, Toro Zigabe.
Uchaguzi hii uliweza kufanya chini ya ukumbi ya viongozi wa LIFSKI Rushingwa Constantin présidenti makamu wa kwanza wa LIFSKI na Fiston Kwibe Kitungano Katibu, piya palikuwa na Claude Wema alikuwa na wakilisha Serkali na meya wa mji
Commission ya Uchaguzi ulikuwa ukishimamiwa na Mwandishi wa michezo ASSIMBO Habamutaki Pacifique yeye kama présidenti na Mwandishi wa habari Joël Mugisho Katibu
Patrigal Basimarha soka
