Mchezaji SERGE KAYALA kisha kuchezea Saint Dorothée, FC Mulengezi, OC Mangande, Umoja , Vita club na DCMP huko kwenye uwanja wa CIKONYI.
Huyu mchezaji Serge Kayala anakuwa mchezaji wa kwanza hapa mjini Bukavu ambaye kisha kustafu mpira aliweza kuheshimishwa nakufanyiwa Jubile ya kwake naye mwanabunge mshauri wa mtaa Bagira Samy MAGADJU.
Hii tendo imefuraisha wanamichezo wengi sana wa mji wa Bukavu na piya timu ambazo zinakuwa ziki shiriki kwenye mashindano ya huko Cikonyi Kasha.
Wana michezo wengine waendeleye kuiga hii tendo ambayo amefanya Bwana Samy MAGADJU kwajili ya kuheshimisha huu mchezaji Serge Kayala.
Upande wa mchezaji Serge Kayala.
Anaendelea na kushuru nakupongza wana michezo wote wa Kasha nawachezaji na hizi Timu zote ambazo aliweza kuzipitiya yeye kama mchezaji huko kwenye Klabu za huko Cikonyi Kasha kwenye miaka zote aliweza kuwa nayo muda wote ambao aliweza kufanya
kwa hii timu zote ambazo aliweza kuzipitiya, piya aliweza kumushukuru Samy MAGADJU kwa yote ambayo amefanya kwake.
Patrigal Basimarha soka Magufuli
