Kisha kukuwa mchezaji wa mpira Samy Chamunani leo hii inakuwa Sasa kiongozi wa timu ya FC Scorpion akiwa présidenti makamu wa kwanza ( Vice président) ambaye anakuwa akiwasaidiya wa Mtoto wadogo wa miaka Ku na nne (14ans) na zadi na kuwa tunza kupitiya uongozi wake yeye kama présidenti makamu nakusaidiya vijana wa Brasserie kuendelea mbele kwenye mchezo wa Kandanda.

Hakukomeya hapo tueleze kwamba ilikuwa kisha kupita kwenye hizo timu kubwa kubwa Bukavu dawa Muungano na Bande rouge, kisha kujilikana Katika mjini wa Bukavu yeye kama mchezaji sujaa tena mkarimu tena mpole.

Ni tendo ambayo aliweza kuionesha yeye kama mchezaji ambaye amepitiya ndani ya timu kubwa kubwa Katika mjini Bukavu na leo nakuwa kiongozi wa timu siyo jambo raisi, wana michezo wengi waliweza kufuraishwa na kumusifiya kupitiya kitendo hicho ambayo anaendelea kuifanya kwa ajili ya watoto wachanga hawa ingawa centi yake ndogo.

Ni jambo ya kumutupiya mauwa na kumupongeza kwa Kazi ambayo anakua akifanya kisha hii miaka tatu ambayo aliweza Ku stafu nakuaka kucheza mpira.

Chamunani Samy Mukoma aliweza kuwakilisha timu yake hii Siku ya kwanza tarehe 05 Augusti kwenye fainali iliyo cheza kati ya timu yake ya FC Scorpion na US Kavumu kwenye uwanja wa Kadutu. Ingawa timu imepoteza mechi aliendeleya kuwapa moyo nakuwa pongeza nakuwa sapoti wachezaji wake.

Inaomba kwa wachezaji wengine wa zamani ambao waliweza kupitiya ndani ya timu zimoja zimoja za hapa mjini Bukavu waweza kuiga huyu mcheza Samy Chamunani kwa iyi tendo kwajili ya kusaidiya vijana.

Patrigal Basimarha soka Magufuli 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *