Kocha RIZIKI MBILI DON ni Kocha pekee wa mjini Kamituga ambaye iko akishiriki kwa hii majifunzo ya makocha ambayo ilifunguliwa hii alhamisi tarehe 26  septemba huko mjini Goma.

Hii majifunzo niwa kocha makumi nne tano wanakuwa wanakuwa waki Kushiriki kwenye majifunzo kati ya kocha hawa munapatikana walimu wa mchezo  tano kutoka jimbo Kivu kusini, wa kocha wale ni ALBERT MULUNGULA Coach Wa Timu ya Muungano, RIZIKI MBILI DON wa timu ya TS Amazone ya Kamituga, KASHINDI BUBENGA Kached Kocha wa timu ya FC Bwali, JEAN PETIT wa timu ya Bande rouge.

Ndo hidadi ya wa kocha ambayo wanawakilisha Jimbo Kivu kusini kuhusu majifunzo ambayo iko iki endeshwa mjini Goma.

Kocha RIZIKI MBILI DON tayari anakuwa na leseni D na C anakuwa akitafuta Sasa leseni B ya shirikisho kwa umaarufu licence B fédéral.

Huyu RIZIKI MBILI DON timu ambazo amewayi kuzipitiya kama kocha ni Tout solide Amazone ya Kamituga, ambayo imetoka Kushiriki kwenye mashindano ya vijana wa miaka kumi na Saba mjini Bukavu, vile vile Tout solide Amazone la wanawake ambayo imetoka timu ya pili kwenye mashindano iliyo andaliwa uko Kamituga naye Kanali VELA.

RIZIKI MBILI DON aliweza kuwa vile vile kocha wa timu ya FC Chundo na Mbila Nani yeye aliweza kuwa kocha wa timu ya Mbili hii mwaka ambayo imemalizi nakaweza kubeba kikombe la mashindano ya Kamituga na timu ya ED Mbila.

Piya akaweza kushiriki na timu ya Mbila kwenye mashindano ya Ligi ya kandanda Jimboni Kivu kusini kwenye mzunguko wa makumi nne na sita LIFSKI, aliweza kubeba Mara pili mfululizo na kombe ya shule la secondari Zalya officiel ya Kamituga kwenye michuwano za shule.

Hii ndo historia ya Kocha RIZIKI MBILI DON ambaye ni Kocha pekee wa kamiga anaye patikana huko mjini Goma kwa ajili ya majifunzo ya LICENCE B Fédéral.

Patrigal basimarha soka.

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *