Mechi hio iliweza kuendeshwa hii jumapili tarehe 25 mei 2025 kwenye uwanja wa Murhesa.
Timu la chuo Uhuru kisha kopoteza mechi yake ya pili mbele ya Shule ya kati Ecofoot Walungu, iliweza kujipatiya Jana jumapili mbele ya Renaissance ya Kivu.
Tuseme kwamba mechi iyo iliweza kuchezwa kwali ya undwa urafiki kati ya hizi timu mbili za wanafunzi, chuo la Académie Uhuru ilikaweza kujipatiya ushindi kwakuishinda Renaissance ya Kivu kwa bao mbili kwa moja (2-1). iyi ilikuwa ni mechi yake tatu Sasa tangu hii timu iliweza undwa.
Goli za timu ya chuo Academie Uhuru iliweza kujazwa kipindi ya kwanza na kipindi ya pili, mu kipindi ya kwanza Olivier 14′ na mukipindi cha lala Salama Marcelin akajaza goli la ushindi kisha dakika 87′ nakupitiya goli hilo likaweza kupelekea Wapate Ushindi mbele ya Renaissance ya Kivu.
Patrigal Basimarha Tonton.
