chama cha michezo la Bilombe ya huko Bagira kimemsajili kocha Kumbao Jean kwa mkataba ya miezi 5 awali.

pande hizo mbili zilifikia makubaliano mchana wa Alhamisi hii, Julai 25, 2024.

Mchezezaji wa zamani wa  bukavu dawa, Bande rouge, Ibanda sport na kocha msaidizi wa sasa wa Académie real ya kweli akiungana na bagira oranges baada ya kupita ku timu  nyingi hapa mjini Bukavu.

Bagira united, Étoile de l’est, Us Kasha, na FC Hakuna Matata. Tuongeze ya kwamba timu ya Bilombe ni timu ambayo inacheza mashindano ya shirika la mpira kwenye daraja ya kwanza.

Nguvu za Kocha Kumbao ziko wazi baada ya kuinoa benchi ya akademi ya Real akiwa kocha wa kawaida.

na kumbao jean, Us bilombe inajiwekea malengo ya toleo la 2024-205 ambalo liko karibu.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *