Kisha mashindano ya Vikapo ambayo iliweza kuhitimishwa hii jumamosi tarehe 03 agosti 2024, kwenye uwanja wa ISP Kisha fainali ambayo iliweza kutanisha kwa mara ya tatu BC Ami bk na BC Chaux sport, na timu la BC Chauxi sport limeizidiya mara tena BC Ami BK Nguvu kwaku washinda mara Tatu mfululizo bila kupata hâta ushindi Moja kwa mechi Tatu ambazo wamezicheza kwenye fainali.

.Hii kikombe imefanya BC Chaux sport ichukuwe kombe yake ya Tatu kwa hii mashindano la Vikapo Kisha kuingiya kwenye mashindano ya Vikapo, imeonekana kwa Sasa kama timu ya BC Chaux sport Haina mpinzani hadi Sasa sababu ya bapate miaka mitatu Sasa inakuwa ikishikilia ubingwa kwenye mashindano iyi piya hizi kombe zote inakuwa ikizinyanga BC Ami bk kwenye fainali.

BC Ami Bk imejitoa Ila haikuweza kufaulu sababu hii mwaka kwa timu ya Ami Bk haikuwa ingawa walifaulu kufaka kwenye fainali ila waka Weza kuzidiwa Nguvu mbele ya watani wao wa njadi wa BC Chaux sport, Ami bk imeonaka imeshakuwa kutumba ya nyoka mbele ya BC Chaux sport inatisha tu ila Nguvu haina kabisa, sababu tokea BC Chaux sport iweze kuingiya kwenye mashindano ya Vikapo BC Ami Bk haijawai kuchukuwa kikombe tena, tuseme kwa hawa wapinzani wawili waliweza kutana kwenye fainali maratu.

 

Mechi ya kwanza Bc Ami bk Ilikupigwa pointi 54-72 mbele ya BC Chaux sport.

Mechi ya pili BC Chaux sport ikajipatiya ushindi kwa pointi 69-67 mbele ya BC Ami Bk.

Na mechi ya Tatu BC Chaux sport ikaiteketeza BC Ami bk kwa pointi 107 87 na iyi ushindi wa BC Chaux ikaweza kupelekea Wachukuwe kombe Yao ya tatu, hii timu la BC Chaux sport Kila mtu aliweza kuwakabali kimatokeo mbayo wametowa uwanja.

 

Siyo chaux sport ya wanaume ila piya la wanawake nalo limechukuwa kikombe mbele ya Wonderfull Kisha kujipatiya ushindi kwa mechi Tatu mfululizo kwenye fainali. hii timu la wanake piya liliweza kugandamiza vikali BC Wonderfull kwa mechi Tatu ambayo waliweza gongana kama wapinzani.

 

Mechi ya kwanza BC Chaux sport iliwza Kushinda pointi 79-49 BC Wonderfull.

Mechi ya pili BC Wonderfull 43-122 BC Chaux sport.

Mechi ya Tatu BC Chaux sport 91-48 BC Wonderfull.

Patrigal Basimarha soka. 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *