Football : Kocha Kika Musimbi CHRISTOPHE kisha kuchezeyea timu nyingi kwenye bara la Afrika Asia na Europa amefaulu kwenye majifunzo kupata Liseni Ya CAF
Kocha Kika Musimbi CHRISTOPHE kabla ya kuanza kazi ya ukocha alikuwa mchezaji tena Beki wa nyuma amechezechezea timu nyingi sana Katika bara la afrika. Ki historia fupi kuhusu mchezaji Kika Musimbi aliweza kuzaliwa mjini Bukavu mwaka wa 1980 ambaye anaongea Lugha nyingi lugha hizi ni […]
Général Sport