
CAN U20 EGYPTE 2025 : Timu la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Léopards imetolewa kwenye robo fainali na Afrika kusini
Kisha kupitiya chupu chupu kwenye mechi za makundi timu la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo léopards haiko Weza kufaulu mechi yake hii jumatatu tarehe 12 mei 2025 mbele ya bafana bafana ya Afrika kusini. Ilikuwa ni mechi iliyo wakutanisha kwenye robo fainali ingawa léopards waliweza […]
Général Sport