
Football : Patient Bahati amechaguliwa kiongozi wa Timu ya VC Kahuzi
Yote imefanyika kisha Uchaguzi iliyo endeshwa hii jumapili tarehe 16 march 2025 kunako chumba cha shule la kiufundi ITFM. Tuseme kwamba Uchaguzi ilifanyaka katika hali ya utulivu, Patient Bahati aliweza kupata sauti ya kura kumi nanane juu ya sauti makumi mbili 18/20, Ikaweza pelekeya kushinda […]
Général Sport