Football : Samy Chamunani Mukoma mchezaji wa zamani wa Bukavu dawa Muungano na Bande rouge kisha stafu amenza kusaidiya timu ya Scorpion na kuwa himiza vijana wa Brasserie kupitiya Musaada wake
Kisha kukuwa mchezaji wa mpira Samy Chamunani leo hii inakuwa Sasa kiongozi wa timu ya FC Scorpion akiwa présidenti makamu wa kwanza ( Vice président) ambaye anakuwa akiwasaidiya wa Mtoto wadogo wa miaka Ku na nne (14ans) na zadi na kuwa tunza kupitiya uongozi wake […]
Général Sport