Kocha Tifo Miezi iliweza kustajabisha timu nyingi Katika historia yake yeye kama kocha wakati alikuwa mkufunzi wa Timu ya Étoile du Kivu.

Kocha hii aliweza jipatiya ushindi kwa mara mbili na kuishinda Bukavu dawa na Timu yake Étoile du Kivu wakati Étoile du Kivu ilikuwa na shida ya kushinda Bukavu dawa lakini tu Tifo.

Miezi alipo wasili kwenye timu akaweza faulu kuishinda Bukavu dawa kwakuilaza goli tatu kwa sufuri (0-3 ) na (3-2 ) pamoja na Etoile du Kivu na vile vile chaux sport dhidi ya Muungano.

Aliweza kutiza izi timu mkubwa za mji wa Bukavu pamoja na chaux sport 2-0 Muungano, Chaux sport 3-1 Muungano.

Ni timu ambazo aliweza kuzipitiya, nakaweza kutowa matokeo mazuri , Étoile du Kivu, chaux sport, Kabasha na Académie real upande wa mashariki.

Tifo Miezi hakuendelea kubaki aliendelea na majifunzo ya Lisene B Ya CAF ambayo aliweza kuchukuwa Muda wa miezi tano huko mjini Kinshasa, na kocha Tifo akaweza kafaulu kwenye mtihani huo nakupata cheti chake cha Liseni B.

Ambaye media Congoleo inaendelea Kupongeza nakumutakia kila kwenye hii kazi yake.

Patrigal Basimarha soka Magufuli.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *