Kocha Kika Musimbi CHRISTOPHE kabla ya kuanza kazi ya ukocha alikuwa mchezaji tena Beki wa nyuma amechezechezea timu nyingi sana Katika bara la afrika.

Ki historia fupi kuhusu mchezaji Kika Musimbi aliweza kuzaliwa mjini Bukavu mwaka wa 1980 ambaye anaongea Lugha nyingi lugha hizi ni Kiharabu, Kifaransa, Ureno ama (portugais), Kingereza , kiswahili, Lingala.

Kika Musimbi CHRISTOPHE aliweza kupitiya mara ya kwanza kwenye Shule ya mpira la Bukavu ( Ecofoot confondateur ) aliweza Kupata sifa nyingi sana yeye kama mchezaji mwaka wa 1998.

Aliweza kuchaguliwa kama mchezaji bora tena beki mwaka wa 1999 wakati alikuwa nacheza Timu la FC Orgaman ya mjini Bukavu DRc, Kika Musimbi CHRISTOPHE kaendeleya kupata sifa Mwaka wa 2000 akaweza kuchaguliwa mchezaji bora wa nyuma na Timu ya Mozende, mwaka wa 2001 akaweza mara tena kuchaguliwa kuwa mcheza bora wa Ligi ya Kandanda jimboni Kivu kusini na Timu la US Safari .

Mwaka wa 2002 hadi 2025 huyu mchezaji Kika Musimbi CHRISTOPHE aliweza kuwa mchezaji wa ufunuo bora  kwenye hii timu ya Lupopo.

Jomo cosmos South Africa, akaweza kupewa tuzo yeye kama mubeki bora kisha kustajabisha wanamichezo wengi Katika nchi ya Africa kusini. Mahidra united india aliweza kuwa mchezaji wa hufunuo nzuri  2006-2008 ambayo ameichezeyea miaka miwili, kuchezeya HCB do Songo Mozambique 2008-2009 Tasa cup.

Yemen Ahli Taiz kwa hii timu aliweza kuchaguliwa mchezaji bora wa mwaka piya aliweza kubeba kombe na Cup de Golf mwaka wa 2009.

Kachezeya mara tena Kabwe Warriors FC Zambia Kika Musimbi aliweza kuchaguliwa mchezaji bora wa Katikati .

Historia ya kazi ya ukocha.

Mwaka wa 2022 alikuwa msaidizi wa timu ya pili ( Les Sourds) ABHA FC Arabie Saoudite, aliweza kusaidiya timu hiyo hadi kuingiya kwenye Pro ligue Saoudienne ya kuleta Maendeleo kwa Timu hiii nakutoa matunda mazuri.

Aliweza kuongoza Timu ya Celtic Lusaka Zambia  aliweza kuwasili kawati timu hiyo ilikuwa kwenye nusu fainali, naka faulu kuchukuwa kombe na Timu ya mara ya kwanza Katika historia, aliweza kuwa vile vile kocha Msaidizi wa Timu Lusaka Dynamos mwaka 2020-2021. timu hiyo iliweza kucheza na timu ya Orange CAF confédération ya bara la Afrika naikafaulu kuingiya mara ya kwanza kwenye inaikaweza kustajabisha vikali Renaissance Berkane ya Moroco kwenye makundi .

2019/2020 timu hiyo iliweza kualika wachezaji wa tano wa timu la Taifa ya Zambia.

2018-2019, Kika Musimbi CHRISTOPHE aliweza kutoa timu kwenye na fasi ambayo ilikuwa inakaribiya kushuka darala pili ilikuwa inashikilia na fasi ya ma kumi mbili (20) kwenye mpangiyo wa mashindi lakini akaweza kuitoa huko nakuiweka kwenye na fasi ya kumi na nne (14) na mara moja timu ikaweza kubaki ndani ya daraja la kwanza.

2011-2018 kocha mkuu Lusaka Dynamos FC Zambia.

Matokeo ambayo aliweza kutowa, ni kisha timu kutoa matokeo mubaya mwaka wa 2016 timu ilikuwa na shikilia na fasi ya 14 na nne kwenye mpangiyo wa na fasi kocha Kika Musimbi CHRISTOPHE akaweza kuboresha utendaji na kutoa matokeo mazuri kwa timu hii mwaka wa 2017 piya kafaulu kumaliza kwenye na fasi ya tano (5) nakaweza kupana mchezaji mumoja kwenye Timu ya Taifa ya Zambia piya aliweza kushiriki kwenye kombe Barclays kwa mara ya kwanza mwaka wa 2014 na Timu iliweza kushukilia na fasi ya tatu ( 3).

Piya Kika Musimbi CHRISTOPHE aliweza kuwa Kocha mkuu wa Timu ya FC Zambia mwaka 2014-2016, aliweza kuanza kwenye timu hiyo ilikuwa ligue super division alikuwa namalengi mpya, ambayo iliyo pelekeya Timu ipande kiwango falani piya kuboresha matokeo za Timu  piya Kika Musimbi akaweza kupana wachezaji wa wili ndani ya timu ya taifa ya Zambia. 

Kupitiya hii matokeo mazuri ambazo waliweza kufanya kwenye mchezo wa Kandanda Coach KIKA MUSIMBI CHRISTOPHE aliweza kufanya majifunzo ya Liseni C ya CAF 2013 Katika nchi ya kidemokrasia ya Kongo DRc.

Kozi za Kocha wa FIFA 2013 kwenye Leseni ya Shirikisho la Line C ya Ufaransa.

Mwanachama wa Chama cha Makocha wa Soka wa Zambia

Victoire wa FIFA barani Afrika na Afrika Zim 2010.

KIKA MUSIMBI CHRISTOPHE kupitiya juhudi ya kazi ambayo anaendelea kuifanya kwa iyi Kazi ya ukocha aliweza kufaulu kwenye majifunzo na kaweza kuwa miongioni mwa wakocha ambao waliweza Kupata Liseni B ya CAF.

Patrigal Basimarha soka media Congoleo inaendelea Kupongeza na kumutakia hongera sana kwa Kazi ambayo anaendelea kuifanya Kocha KIKA MUSIMBI CHRISTOPHE 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *