Mkutano ule iliweza kufanya hii jumatano tariki 30 Julai 2025 taani Bagira kwenye chumba Karibu vijana mpya (KJN).

Mkutano huo uliweza kufanyika kwajili ya Bajeti ya mwaka 2024-2025 ambayo timu iliweza kutumiya.

Imefanya mbele ya mjumbe wa EUFBUK Katibu wa kwanza Emmanuel Bulambo na mjumbe anaye wakilisha meya mji wa Bukavu Claude Wema.

Ripote ya tathmini iliweza kusoma naye Présidenti makamu wa kwanza Louison.

Kuhusu matumizi ambayo timu iliweza kutumiya hii msimu 2024-2025 na kuhusu malengo ambayo timu ilikuwa nayo Ila haikuweza kufikia kwakutokana, na hali ya usalama mdogo iliyo kumbwa mjini wa Bukavu.

Timu la Bilombe iliweza kuchaguliwa kama timu hii mwaka 2024-2025 mjini Bukavu kwa kulingana na matokeo ambayo timu iliweza Kuya towa uwanja ni, matokeo haya ikaweza kupelekea timu iweza kuwa na malengo ( objectif) ya kubeba kombe ya EUFBUK n’a kucheza Ligi ya kandanda jimboni Kivu kusini.

Na mara moja kuingiya ndani ya mashindano ya kitaifa ya Linafoot 2 daraja la pili, lakini Bilombe haikuweza kucheza kwaku tokana na usalama mdogo uliyo kumbwa mjini wa Bukavu naika sababisha mashindano isifikiye ukingoni.

Bajeti la timu ya Bilombe uliweza kubaliwa na wanamemba piya wachezaji ambao waliweza kushiriki kwenye mkutano huo.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *