Ilikuwa hii jumapili tarehe 27 Julai 2025 mtaani Bagira, ilikuwa chini ya mjumbe aliye tumwa na EUFBUK Raissa, Namashunju piya na mkuu wa michezo anaye wakilisha meya wa mji mwahii swala ya michezo Mudekereza Kurenga Muzimu.
Mambo mengi iliweza kusumuliwa ndani ya mkutano hii iliyo andaliwa na Timu la Bagira United chini ya ukumbi ya mjumbe aliye tumwa na EUFBUK Raissa NAMASHUNJU
Madumizi ya pesa ambayo timu iliweza kuitumiya kwaiyi hii mwaka ambayo 2024-2025, kiupande wa feza, piya upanda wa ufundi.
Na matokeo za mechi timu ilizo zitoa kwa msimu ambayo imepita
Tuseme kwamba ripote ya mkutano hii iliwezwa kusomwa na Katibu Cikuru.
Tathmini iliweza kubaliwa na wanamemba kisha marekesho machache.
Patrigal Basimarha soka
