Mashindano ya shirika la mpira la Bukavu EUFBUK Daraja ya kwanza ambayo ilikuwa ikiendelea hii jumanne tarehe 17 decamba kwenye uwanja wa Kadutu, ni mechi mbili zilikuwa kwenye mpango.
Mechi ya Saa 13h30 Timu la Mozende iliweza kulazimisha Ciriri sport kwenda Sare ya bao moja pande zote (1-1).
Piya pa saa 15h30 Bagira United ikajipa ushindi mbele ya FC Orgaman kwakuilaza mabao Matatu kwa mawili (3-2).
Mashindano haya itakuwa ikiendelea hii jumatano tarehe 18 decemba 2024 kwenye uwanja wa Kadutu, mechi mbili zitakuwa kwenye mpango.
Saa 13h30 Regisport itakuwa ikipokea Lubunga football académie.
Na Saa 15h30 Patakuwa na vuta niku vuta kati ya TP Clinique na FC Texas.
Patrigal Basimarha soka