Imekuwa kwenye mashindano ya kitaifa ya linafoot daraja la kwanza humu Inchini ambapo, Timu la Bukavu dawa ilikuwa ikipokea mjini Bukavu Timu la Dauphin noir ya Goma.

Ilikuwa hii ijumaa tarehe 18 Oktoba kwenye uwanja wa Kadutu, Bukavu dawa iliweza kupoteza mechi yake ya kwanza mbela ya Dauphin noir ya Goma, Bukavu dawa inakuwa Sasa ni mechi yake ya kwanza ambayo imetoka kupoteza zidi ya Dauphin noir.

Hii timu ya Dauphin noir inatoka kushinda timu mbili za Jimbo Kivu kusini Ku mechi mbili ambazo imezicheza mjini Bukavu kisha kuishinda Etoile du Kivu imeenda vile vile Bukavu dawa kupoteza zidi yao kwaku wa funga goli moja kwa sufuri (0-1, goli iyi iliweza Kujezwa munamo dakika 35′ mukipindi ya kwanza naye mchezaji  Basila Boston.

Timu ya Dauphin ime nyangnya pointi Sita Ku Timu za Bukavu, Etoile du Kivu na Bukavu dawa kisha kukamilisha ubingwa wake mbele ya izi timu mbili zawa tani wandjadi.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *