Mashujaa wa TP Buloho wamefanya vema maratena kwenye mechi ya robo fainali ambayo waliweza kuicheza Jana jumatatu tarehe 12 agosti kisha kujipatiya ushindi mbele ya Dortmund bolenge ya Congo ya kati kwa umaarufu Congo Central.

Timu la TP Buloho ambayo ilikuwa ikionekana kama mtoto yatima kwa sasa inakuwa iki heshimilisha Jimbo Kivu kusini nakuipatiya heshima kwa hii mashindano, TP Buloho ni kama mtoto ambaye ambaye ametupwa nakuogotwa njiani, sababu ni kwamba timu iyo hauta weza kufaidiya hata centi moja kutoka kwenye viongiozi wa Jimbo toka isafari kwenda mjini Kinshasa hadi sasa.

Wanaenda kuomba kuomba musaada kwa watu mashururi wa Jimbo Kivu kama wanabunge na wenye moyo mwema iliendeye kuwa saidiya kipato sababu timu iyo iko mjini Kinshasa kwajili ya kuteteya Jimbo Kivu kusini.

Wanaendelea kukumbusha waziri wa michezo anaye husika piya nama dibilisho na wakuu jambo kuwa saidiya kimusaada sababu inaoneka kama hawa vijana wa TP Buloho wameachwa kama yatima nasiwao mwenyewe piya kunapatikana timu ya FC Nkanga Suzuki motard ambayo kisha kutolewa kwenye mashindano inaendelea kuchelewa huko mjini Kinshasa sababu ya kukosa pesa za usafiri.

Tuongeze ya kwamba TP Buloho itakuwa ikicheza hii jumanne tarehe 13 agosti mechi yake ya nusu fainali na timu la TP Mazembe ya Congo ya Kati itakua mida ya 11h saa za huko mjini Kinshasa na sita saa za mashariki.

Hili Timu la TP Buloho linaitaji kusindikizwa kimuchango kipesa na vingineyo kama alivyo kuwa akisema mbele ya uwandishi wa Congoleo Elia Nacifunzi Heri Kadali yeye ambayo anakua iko kati ya wanamemba wa watimu ya TP Buholo.

Patrigal Basimarha soka

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *