FC Texas  ni timu ambayo imeandika tayari historia yake kwenye mashindano ya shirika la mpira la Bukavu kisha kuchukuwa ubingwa wa mashindano kwa musimu ambao umepita 2023-2024.

Timu yake mwanabunge Ananie Lunanga Anansoft Kijana piya Mwandishi kwenye ubunge wa mkoa Kivu kusini, timu lake Lilianza rasmi mazoezi yake hii jumatatu tarehe 12 agosti 2024 kwenye uwanja wa Istm mazoezi ilikuwa ikiongozwa naye kocha wao Sukari Pombeto ambaye kocha ambaye aliweza kuchaguliwa kama kocha bora kwa mjini wa Bukavu.

Kocha Sukari Pombeto alikuwa akisindiza kikosi chake cha wachezaji kwenye hii mazoezi ya Jana jumatatu, pamoja makumi mbili ambao waliweza kushiri kwenye iyi mazoezi ya kwanza.

Kocha aliendeleya kusema kwamba timu yake inakuwa na lengo ya kuchukuwa mashindano ya kandanda ya mji wa Bukavu piya Ligi ya Jimbo kwa iyi mwaka ambayo itanza apa karibu , Kocha Sukari Pombeto ni Kocha ambaye tayari jina lake limesha andikwa kwenye historia ya Jimbo Kivu kusini kupitiya timu ambazo amesha zipitiya na matokeo ambayo anakua akitoa.

Ananie Lunanga Anansoft mwana bunge Kijana yeye ambaye hache kujitowa kuzidikiza vijana kupitiya maendeleo. tuendeleye kuongoza ya kwamba ya Pata sasa mwaka moja ambao anaenda kuieneza kama mfadhili na sponsa wa Timu la FC Texas.

Nakupitiya iyo Texas imestajabisha nakushangaza timu kuwa kubwa apa mjini  Bukavu lengo lake ni kufanya Texas iwe timu kubwa kama wakina Bukavu dawa, Muungano, na Étoile du Kivu.

Patrigal basimarha soka

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *