1. Yote imefanyika kisha timu FC Nkanga Suzuki motard ya walungu kutolewa kwenye mashindano katika makundi, FC Nkanga Suzuki motard haïku fanya vema kama watu wengi walikuwa wakitarajiya kisha timu kuchukuwa kombe ya jimbo kwa hii musimu ambao umemalizika.
  2. FC Nkanga Suzuki motard haïkufanya lolote lile kwenye mashindano ya kitaifa la vijana wa miaka kumi na saba 17 ans kisha mechi tatu ambazo timu imecheza, matokeo yote yalikuwa mabaya kitofauti na TP Buloho timu ambayo ilikuwa tayari amesha kata matumaini ya kushiriki kwenye mashindano. Ilikuwa timu ambayo ilikuwa ikizarauliwa kingazi zote, hii TP Buloho kwa sasa inakuwa iki teteya Jimbo Kivu kusini kwahii mashindano natayarisha wamesha cheza mechi mbili nawakajipatiya ushindi kwaizo mechi mbili.
  3. TP Buloho imejikatiya nauli ya kuingia kwenye boro fainali kisha kuchukuwa na fasi ya kwanza katika kundi lake, hii timu inaitaji kupata musaada wa viongiozi wa Jimbo kama vile waziri husika na michezo na elimu sababu hadi sasa hawaja faidi Hata senti moya kama musaada wa jimbo na siyo wao wenyewe Ila piya FC Nkanga Suzuki motard ambayo inapatikatu mjini Kinshasa Kinshasa kutolewa kwenye mashindanoni.
  4. Izi timu mbili zina hitaji musaada wa viongiozi piya yule ambaye anakua na moyo mwema ili waendeleye Kufanya vizuri zaidi kwenye mashindano.
  5. TP Buloho timu pekee ambayo inabaki ikiwakilisha Jimbo Kivu kusini kwahii mashindano itakuwa ikicheza hii jumatatu tariki 12 agosti 2024 itakuwa saa 13h Watakuwa waki gongana na Timu ya Dortmund bolenge ya equatori
  6. Patrigal basimarha soka

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *