Ismael Ngambelo Kalanga mchezaji piya Goal Keeper wa timu la Daring Club Motema pembe iliweza kumushukuru kocha Amani DJUMA Kevin kazi ambayo anaendelea kuifanya kwa wa chezaji wa Keeper

Mchezaji huu akiwe mchezaji wa timu Motema ya Kinshasa ambayo inakua inakuwa ikicheza mashindano ya kitaifa ya daraja la kwanza. Aliweza kumusifiya sana kocha wake Amani DJUMA Kevin kisha kazi ambayo Kocha Amani DJUMA Kevin amefanya kwake kumufunza kazi njinsi ya kucheza ndani ya lango […]

Sécurité