Timu ya OC Bukavu dawa imejipatiya kamati mpya kisha uchaguzi ulio endeshwa hii jumatano kwenye hôtel Beau lieu
Ilikuwa kwenye mkutano mkuu iliyo endeshwa hii jumatano tarehe 08 Octoba 2025 kwenye hôtel Beau lieu pa Nguba watu makumi Sita na mbili waliweza kushiriki kwenye mkutano huo ( 62). Kabla uchaguzi uanzishwa presidenti wa tume huru ya uchaguzi Bwana Augustin Mupenda aliweza kuchukuwa kahuli […]
Général Sport