Football : Mashabiki wa timu ya Barcelone wame ANGUSHA wa Réal Madrid kwenye mechi ya kirafiki
Ilikuwa hiii jumatatu tarehe 30 juni 2025 kwenye uwanja wa michezo wa de la concorde mtaani Kadutu. Mashabiki Hawa wa Barcelone ingawa waliweza kufungwa goli Mapema sana na Mashabiki wa Real Madrid haikuweza kuwa sikitisha, walijipatiya nguvu na wakaweza Ku sawazisha mnano kipindi ya. Real […]
Général Sport