EUFBUK : Bagira United ilifanya mkutano wake mkuu wa kawaida wa mwaka 2024-2025 hii jumapili
Ilikuwa hii jumapili tarehe 27 Julai 2025 mtaani Bagira, ilikuwa chini ya mjumbe aliye tumwa na EUFBUK Raissa, Namashunju piya na mkuu wa michezo anaye wakilisha meya wa mji mwahii swala ya michezo Mudekereza Kurenga Muzimu. Mambo mengi iliweza kusumuliwa ndani ya mkutano hii iliyo […]
Général Sport