Oc Gorille imekanyagwa vikali na Fc Immortel
Timu la Oc Gorille imekanyagwa vikali na Fc Immortel kwa goli tatu kwa sufuri (3-0). Ilikuwa kwenye mechi iliyo endeshwa hii jumamosi tarehe 20 april kwenye uwanja wa Kadutu katika michuwano ya ligi ya jimbo Kivu-Kusini.
Général Sport