Football : Rifari wakimataifa wa Jimbo Kivu kusini Gradel Mbilizi aendeleye kufanya vema zaidi
Huyu rifari GRADEL MBILIZI Mbilizi Mwanya kisha kucheza mechi yake huko inchini Kenya kama Rifari musaidizi wa kwanza, kwenye mechi ya Kenya police FC na Ethiopia Coffee huko inchini Kenya. Na mechi ya Sfaxien na Rukinzo FC huko Tunisia hii tarehe 21 septemba ambayo imepita. […]
Général Sport