EUFBUK PRO 2025 : Klass académie kashinda Orgaman, TP Clinique Kajipa heshima mbele ya Bagira United
Mashindano ya shirika la mpira la Bukavu EUFBUK Daraja la kwanza kipindi cha marudiliyo, ambayo ilikuwa ikianza Jana jumatatu tarehe 04 novemba 2024 kwenye uwanja wa Kadutu . Mechi mbili zilikuwa kwenye mpango saa 13h30 FC Orgaman ambayo inaendelea kudidimiya kwenye na fasi ya mwisho […]
Général Sport